TAMTHILIA YA BONDITA NDANI YA BINAGO TV APP KUANZIA LEO

Barrister Babu "Bondita" ni TAMTHILIA inayohusu hadithi ya Anirudh Roy Choudhary, wakili aliyesoma London, na Bondita Das, bibi-arusi mtoto, ambaye ameolewa naye. Anirudh anapambana na jamii dhalimu na dume ili kumsomesha Bondita kuwa wakili. .baada ya Bondita kuwezeshwa, anasimama na kupambana na maovu ya kijamii huku akishughulikia matatizo pamoja na Anirudh mme wake. 

Hii ni moja ya Tamthilia yenye mafunzo mengi zaidi katika harakati ya kupinga Mila potofu na mbaya katika Jamii zetu hasa za Afrika.

Kaa mkao wa BURUDANI. Binago TV tupo kwaajili yako. Kuanzia Leo itakuwa live na buree kwenye Application yetu ya BINAGO TV pekee.

Download sasa Application yetu kwenye simu yako upate BURUDANI hii.

Tamthilia nyingine zilizopo kwenye Application yetu ni pamoja na
*KULFI (yote mwanzo hadi mwisho)
*Sozi 
*The Man Who Kills
*Squid Game 🔥.

1 comment:

  1. Marudio ya bondita na soz weekend ni SAA ngapi naombeni ratiba

    ReplyDelete