Advertisement

Responsive Advertisement

WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA SIMBA SC vs YANGA SC

Hawa ndio Waamuzi watakaochezesha mpambano wa Kariakoo Derby katika viunga vya Benjamin William Mkapa Jijini Dar es salaam tarehe 25 Jumamosi hii, kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC.

Ramadhani Kayoko aliyechezesha mchezo katika Tamasha la Simba Day, Simba SC vs TP Mazembe amechaguliwa rasmi kuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa ngao ya jamii kati ya timu hizo mbili.

Post a Comment

0 Comments