NYIMBO YA RAIS WA KITAA YAFIKA #1 ON TRENDING
Wimbo wa Nay Wamitego uitwao Rais Wa Kitaa unaohusisha maswala ya Tozo, Kodi n.k umetokea kuwagusa watu wengi nchini kutokana na kutokubaliana na Serikali juu ya uamuzi huo licha ya kupunguza Tozo za miamala kwa asilimia 30%.
Kwa sasa wimbo ambao ametoka kuutoa siku moja tu nyuma umeshika #1 On Trending huku ukiwa na viewers wapatao 481K na kuendelea.
Kupitia IG Yake Nay Wamitego amesema Rais Wa Kitaa na wanachi wake wamepaza sauti kwa pamoja kupitia Nyimbo ya Rais Wa Kitaa.
"----->Ngoma imeenda Viral kwa masaa machache na Ujumbe umewafikia na wameshaanza kulegeza tayari kuhusu Tozo, hiyi ni nguvu ya Umma."---- NAY
Post a Comment