Advertisement

Responsive Advertisement

CAMPHELL; NAFICHA SURA ILI NDUGU ZANGU WASINIOMBE HELA

"Naficha sura kwa sababu sitaki ndugu zangu waanze kuniomba hela" Afunguka Mshindi wa Tsh. Bilioni 3.4.

Anaitwa A. Campbell (Jina lenyewe alidanganya)
kutoka Jamaica, Huyu jamaa alishinda kwenye
michezo ya kubahatisha Tsh Bilioni 3.4 (USD $1.5
million) na alipotangwaza kuwa mshindi alikaa Siku 54 kujiandaa namna ya kwenda kuchukua pesa zake.

Jamaa anasema aliwaza ni namna gani anaweza
kwenda kuchukua pesa bila kujulikana na ndugu
zake kwani aliogopa kuwa ndugu zake wangeanza
kumuomba hela.
Jamaa ikabidi avae mask tena ya kutisha ili
asitambulike, Hii ilikuwa ni mwaka 2019 lakini mpaka sasa hivi jamaa unaambiwa kafulia kabisa.

Post a Comment

0 Comments