Kwa mujibu wa tovuti ya SofaScore, Kiungo wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Zambia Clatous Chota Chama ameingia kwenye kikosi bora cha msimu cha Klabu Bingwa Afrika.
APP iyo ya Sofascore inafanya kazi ya kurekodi takwimu za wachezaji, kutoa misimamo ya timu, matokeo, ratiba, LIVE SCORE n.k
Katika hizo takwimu zimemuweka Clatous Chama kwenye orodha ya wachezaji waliofanya vizuri zaidi kwenye mashindano ya msimu wa 2020/21 na kuingia kwenye kikosi bora.
Kwa HABARI zaidi, usisihau Kutu-Follow Instagram, ✍
0 Comments