CCM YASEMA HAIPO TAYARI KUONA UPINZANI UNAKUFA
Shaka aahidi Chama kuendelea kushirikiana nao ili kujisahihisha.
Awataka wananchi wa Jimbo la Konde kutopoteza kura kesho.
"Chama Cha Mapinduzi hakitahasimiana na kelele za upinzani kwa kuwa kuwepo kwao ni tija na neema kwa chama tawala ili kubaini kasoro na upungufu uliopo ili kujirekebisha" ---- SHAKA
"Ni uongo kudai kuwa CCM inakandamiza upinzani kutokana na umuhimu wake katika kuleta maendeleo ya nchi CCM chini ya Rais Samia itaendelea kulinda demokrasia nchini" ---- SHAKA
"CCM inafarajika sana pale wapinzani wetu wanapopinga kwa nguvu ya hoja, tunazingatia na kujisahihisha. Huwezi kumuua bata wako mwanamke kwa tamaa ya kupata idadi ya mayai mengi ya dhahabu, akifa hutampata mwingine,"--- SHAKA
"Hata ripoti ya Jaji Francis Nyalali kuhusu maoni ya wananchi pale nchi ilipotaka kurejea katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, ilipotaja kuwa asilimia 80 ya waliohojiwa walitaka mfumo wa chama kimoja uendelee" ---- SHAKA hM
"CCM iliamua kusimama upande wa asilimia 20 ambayo ilitaka vyama vingi jambo ambalo kama Chama kingekubali kupitisha uamuzi huo kingalikwamisha mabadiliko ya kisiasa nchini"---- SHAKA
"kilichofanywa na Kamati Kuu ya CCM ni kusimama upande wa asilimia 20 dhidi ya 80 ili kuwahi upinzani usifurukute kwa nia ya kuyawahi matakwa ya wakati ili CCM isipitwe na wakati." ---- SHAKA
"CCM hakiko tayari kuona upinzani ukidhoofika hatimaye kufa kwani hakuna mwerevu aliye tayari kuvunja kioo chake cha thamani anachokitumia kwa ajili ya kujitazama kabla ya kuvaa, ili ajipime namna alivyopendeza kabla ya kutoka katika jamii." ---- SHAKA
"Upinzani utakabaki na kazi ya kuisafishia njia CCM ili ifikie malengo yake katika kuwatumikia wananchi, lakini wanasiasa wa upinzani wanapaswa kujua kuwa bado hawajakidhi viwango ili Watanzania wakubali kuwapa dhamana ya utawala wa nchi"---- SHAKA
"Mchagueni Ndugu Shekha Mpemba Fakhi akaungane na Rais Samia (Rais Samia Suluhu Hassan) na Dk. Mwinyi (Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi), katika kuwaletea wana Konde maendeleo"---- SHAKA

Post a Comment