Hii maana yake ubingwa umebaki kwa Farasi 2 wa Kariakoo.
Ikumbukwe mwanzoni mwa msimu huu Azam FC iliweka rekodi ya kushinda mechi 7 mtawalia na kutawala tuzo za Kocha na mchezaji bora wa mwezi huku ikiongoza Ligi.
FT.
Simba SC 4 - 1 Mbeya City.
31' Larry Bwalya 51' Pastory Athanas
35' Luis Miquissone
47' John Bocco
86' Clatous Chama
#VPL
#LIVE
0 Comments