Naamini watanzania ni watu waelewa Na haitatumika nguvu kubwa katika kuwaelewesha Na wakaelewa, pia hongera kwa mabalozi wenza my brother Edo Kumwembe pamoja Na my friend Hamisa Mobetto Nawasilimu kwa jina la jamhuri.
Asante Mhe. Mwigulu Nchemba waziri wa fedha Na mipango.
-----> Mbwana Samatta Mchezaji wa Aston Villa na timu ya Taifa ya Tanzania.
0 Comments