Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa Mahakamani ya Hakimu Mkazi Mjini Arusha.
Watapandishwa kizimbani pamoja na wenzake wawili ambao wanatuhumiwa kufanya nae Uharifu, pamoja na maswala ya Rushwa, baada ya kuhojiwa na TAKUKURU.
Post a Comment