MDUDE NYANGALI AACHIWA HURU

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeamua kumuachia huru Kada wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Mdude Nyangali aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za Kulevya.

Mdude Nyangali alifikishwa leo Mahakamani kwa ajili ya kusomewa mashtaka yaliyokuwa ya kimkabili ikiwemo kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin, gramu 23.4.

No comments