MAMA NTIMAMA AFARIKI DUNIA

Familia ya waziri wa zamani wa Baraza la Mawaziri na jamii ya Maa nchini Kenya, kiongozi wa kisiasa William Ole Ntimama, ipo kwenye wakati mgumu, kufuatia kifo cha Mama Dorcas Pedelai Ntimama ambae amefariki usiku wa Ijumaa jana Juni 25, katika hospitali ya Nairobi ambapo alikuwa akipokea matibabu ya ugonjwa ambao haujafahamika.

No comments