JINSI YA KUMPIGIA KURA BISSAYA KWENYE FOYA AWARDS
Habari Mtanzania naitwa Bisaya Bisaya, ni mwanafunzi wa biashara chuo kikuu cha Dar es salaam "UDBS".Nimechaguliwa katika mashindano ya Founder of the year Africa FOYA 2021 katika kipengele cha Mediaprenuer wa mwaka huu 2021 Afrika,nikiwa mwakilishi wa Tanzania "under 30 years".NAOMBA KURA YAKO🙏🏾
Jinsi ya kunipigia kura👇🏾
Ingia tovuti ya FOYA,sign up (jiunge),bofya vote now,search jina langu🔍 "Bisaya Bisaya" halafu nipigie kura.✅
Kura yako ni ya muhimu,usiache✍🏾🙏🏾
Post a Comment