CARING IS HOSPITALITY
Huduma ya kuwafikia wasiojiweza
(CHARITY EVENT)
*WATOTO YATIMA
*WAZEE
*WALEMAVU
Imeandaliwa na wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam.
LENGO NI KUWAGUSA WENZETU WASIOJIWEZA KWA KILE KIDOGO TULICHONACHO.
Kama upo mbali na chuo kikuu cha Dar es salaam UDSM.
KARIBU ushiriki mibaraka hii kwa kuchangia kwa namba
M-Pesa; 0763786516
Jina;Baraka Masay
Mawasiliano zaidi
0765581501
Jina Favor Rahim
UDSM 2021
Post a Comment