BILIONI 2.4 KUJENGA SHULE MPYA MISUNGWI

"Katika sekta ya Afya tangu mwezi huu wamepokea bilioni 1 na tangu umeapishwa tumeleta milioni 544 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya na tutapandisha hadhi Zahanati moja kuwa kituo cha Afya tutatumia zaidi ya Milioni 500 huyu ndiye Samia Suluhu Hassan yeye ni vitendo sio Maneno."-----> Ummy Mwalimu

No comments