AMBANGILE AISIFIA MECHI YA SWEDEN vs UKRAINE
GEORGE AMBANGILE;
Dakika ya 120+1 ....FOOTBALL
Moja ya mechi nzuri sana baina ya Ukraine 2-1 Sweden , timu zote mbili zilikuwa na wazo la kushambulia sana zilikuwa zinapishana . Timu mbili ambazo zimekuwa coached haswa
✍Ukraine wakiwa wanaanza mpira nyuma, Shevchenko amenipa darasa lingine la shape ya timu . Inakuwa 3+1 kwa shape ya diamond . Mabeki watatu = wa kati anakuwa nyuma kidogo, wa pembeni yake wanasogea kidogo mbele na kiungo mmoja mbele ya beki wa kati . Ilikuwa inarahisisha kuishinda press ya Sweden, mbili katika zone zote 5 kuna angalau mchezaji mmoja inakuwa rahisi kusogea na mpira juu ya uwanja .
✍Nilichopenda kingine kwa Ukraine ni kila wakati wakiwa na mpira walihakikisha angalau kuna wachezaji wawili kwenye nafasi ya namba 10 wakiwa kwenye mstari mmoja ( horizontal ) . Faida yake kubw hiyo unahitaji pasi moja tu makini kufungua safu ya ulinzi maana umbali kutoka golini sio mrefu
✍ Sweden viungo wao wawili wa kati aiseee jinsi wanavyofanya mpira utembee kutoka kulia kushoto, kushoto kulia kwa dhumuni la kuharibu shape ya uzuiaji wa Ukraine walifanya kazi vizuri sana .
NOTE
1: Emily Forsberg alikuwa anahitaji goli moja tu kumfikia Ronaldo katika mashindano haya ya Euro 2020. Amefunga goli zuri sana na kugongesha mwamba mara mbili .
2: Zinchenko katika ubora wake na ile assist ya Yarmolenko aisee
3: Kufungwa goli la ushindi dakika ya 121 , zimebaki 2 kwenda kwenye matuta inauma sana
4: England Vs Ukraine : Robo fainali

Post a Comment