"Kwa upande wa wafanya Biashara nawahimiza kulipa kodi stahiki kwa Serikali. Si haki wala si huungwana kwa wafanya Biashara kukwepa kulipa kodi, kufanya hivyo kuitaifanya Serikali yetu ishindwe kutoa huduma muhimu kwa wananchi, hospitali zetu zitakosa madawa na kusababisha vifo, watumishi watakosa mishahara na haki zao stahiki na wanafunzi watakosa Elimu bure ambayo ni zawadi. " Rais SSH
0 Comments