SERIKALI YAMPA ZAWADI YA GARI ALI HASSAN MWINYI


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imempa Zawadi ya Gari Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo, kwenye uzinduzi wa Kitabu chake cha "MZEE RUKHSA"

No comments