Advertisement

Responsive Advertisement

KOCHA PATRICK ODHIAMO KUTUA BIASHARA

UONGOZI wa Biashara United unatarajia kumtangaza Mkenya Patrick Odhiambo kuwa kocha mkuu wa Klabu hiyo muda wowote kutoka sasa

Odhiambo mwenye Leseni B ya CAF anajiunga na Biashara baada ya kuachana na Klabu ya Kakamega HomeBoyz ya Kenya

Ikumbukwe kocha msaidizi wa sasa wa Biashara, Marwa Chamberi aliwahi kufanya kazi na Odhiambo katika klabu ya Sony Sugar ya Kenya, hivyo wawili hawa wataungana tena kule Musoma

Post a Comment

0 Comments