STEVE NYERERE;
Ndugu zangu wana YANGA kama watakuja na wazo la kuipa Adhabu Timu yetu Basi Tuungane kupinga ujinga huu, YANGA ITABAKI KUWA YANGA, NAOMBA MASHABIKI WOTE HIKI NDICHO KIPINDI CHA NAIPENDA YANYA MSHABIKI WA DAMU, DHARAU ZINA MWISHO, YANGA NI WANANCHI, HESHIMUNI WANANCHI BASI
Post a Comment