AMAN KARUME JNICC DSM

Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Amani Abeid Karume akiwa katika Uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi katika ukumbi wa JNICC jijini Dar Es Salaam Leo.

No comments