Advertisement

Responsive Advertisement

MOHAMED SALAH ATOA WITO KWA VIONGOZI DUNIANI

Ametoa wito kwa viongozi wa ulimwengu kumaliza ghasia huko Gaza.

Katika ujumbe wa twita, mshambuliaji huyo wa Liverpool na Misri alisema: "Ninatoa wito kwa viongozi wote wa ulimwengu ikiwa ni pamoja na Waziri Mkuu wa nchi hiyo ambayo imekuwa nyumba yangu kwa miaka 4 iliyopita kufanya kila kitu katika uwezo wao kuhakikisha vurugu hizo na mauaji ya watu wasio na hatia hukoma mara moja. Imetosha.

Post a Comment

0 Comments