Advertisement

Responsive Advertisement

KUHUSU RAMOS KUJA PSG?? SITAJIBU CHOCHOTE-POCHETTINO

Mauricio Pochettino: “Sergio Ramos kwenda PSG? Sitajibu kwa sababu kila kitu kinaweza kutafsirika vibaya ... Sergio ni mchezaji wa Real Madrid. 

Lakini ninachoweza kusema ni kwamba kama kila timu tunataka kuboresha katika nafasi zote"

Post a Comment

0 Comments