KIKOSI CHA YANGA CHATUA MTWARA

Kikosi cha Young Africans kimetua salama Mkoani Mtwara kwa maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Namungo FC, utakaochezwa siku ya Jumamosi kwenye Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa kuanzia saa 10 Jioni.

No comments