Erling Braut Haaland alibadilishana shati na mwamuzi Graefe baada ya mechi kuisha, Jana kwenye mchezo wao dhidi ya Bayer 04 Leverkusen, na kufanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 3 - 1 nyumbani, magoli hayo yalifngwa na;
5' Erling Braur Haaland
51' Marco Reus
84' Erling Braut Haaland
0 Comments