Advertisement

Responsive Advertisement

GUARDIOLA KUHUSU AGUERO

"Labda yuko karibu kukubali makubaliano na kilabu yangu pendwa ya, Barcelona. Atacheza pamoja na mchezaji bora wa wakati wote, Leo Messi. Nina hakika atafurahiya na kuifanya klabu yangu ya Barcelona kuwa na nguvu zaidi"

Post a Comment

0 Comments