FAINALI YA UEFA KUPIGWA ESTADIO DO DRAGAO

UEFA imeutangaza Uwanja wa Estadio do Dragao kutumika kwa ajili ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya [Manchester City vs Chelsea. 

Uwanja huo unamilikiwa na FC Porto ya Ureno.

No comments