Advertisement

Responsive Advertisement

FAHAMU BOBUS ITAKAYOTOLEWA KWA VILABU TANZANIA

Huu ndiyo mchanganuo wa bonasi itakayotolewa na Azam Media kwa vilabu vya Ligi Kuu kulingana na nafasi katika msimamo wa ligi ili kuifanya ligi iwe ya ushindani.

Bingwa Sh500 Milioni
Nafasi ya pili Sh250 Milioni
Nafasi ya tatu Sh225 Milioni
Nafasi ya nne Sh200 Milioni
Nafasi ya tano Sh65 Milioni
Nafasi ya sita Sh60 Milioni
Nafasi ya saba Sh55 Milioni
Nafasi ya nane Sh50 Milioni

Post a Comment

0 Comments