Nyota wa muziki kutokea Nigeria @chidinmaekile amethibitisha kuupa thamani wokovu na kuanza kufanya muziki wa injili
Chidinma amethibitisha taarifa hii kwenye ukurasa wake wa instagram kwa kuchapisha ujumbe uliosomeka...
"MY NAME IS MINISTER CHIDINMA EKILE. I'M A CRUSADER OF THE GOSPEL OF JESUS • I'M A CRUSADER OF THE GOSPEL OF JESUS CHRIST" @chidinmaekile
Tangu athibitishe taarifa hiyo kuwa rasmi ni mtumishi wa bwana, nyota huyu amefanikiwa kuachia wimbo wake wa kwanza wa #Injili unaokwenda jina la #OverDoMe ikiwa chini ya label ya EzeConcept.
0 Comments