BABA LEVO AILALAMIKIA BASATA
Baba Levo aonyesha kusikitishwa na yanayoendelea Mitandaoni, hii ni Baada ya wimbo wa Ney Wa Mitego kutoa nyimbo ya MAMA, na kukataliwa na BASATA.
"Nimeusikiliza wimbo wa Ney Wa Mitego " MAMA", Hauna makosa hata kidogo, Nawashangaa sana Basata"
"BASATA Achaneni na Youtube haiwahusu kabisa, mtawezaje kuzuia nyimbo za NIGERIA zisizo na maadili?"
Niwakumbushe tu mama kisha kataa kuzinguliwa! shauri zenu"
Post a Comment