Je wajua kwamba asilimia Zaidi ya 80 ya watanzania wanatumia kuni na mkaa? Na je wajua kuwa hii inasababisha upotevu wa karibu hekari 400 za misitu kwa mwaka? Tunahitaji kubadilika. Mimi Mwasiti nimeacha kabisa kutumia mkaa, je utaungana nami tuiokoe Tanzania yetu?
0 Comments