Ni mbio za farasi wawili kati ya aliyekua madarakani Ismail Omar Guelleh, aliyeko madarakani tangu 1999, na mpinzani wake Zakaria Ismail Farah, mgombea huru.
Ambapo Ismail Omar Guelleh aliibuka mshindi wa kiti cha Urais kwa asilimia 97%. katika uchaguzi uliosusiwa na upinzani.
0 Comments