Advertisement

Responsive Advertisement

WADUDU WA AJABU WAMEJITOKEZA KWENYE UFUKWE WA MAKOKO MJINI MUSOMA, MKOANI MARA


#SINTOFAHAMU. Wadudu wa ajabu wamejitokeza
kwenye ufukwe wa Makoko, mjini Musoma mkoani Mara na kuzua hofu kwa wakazi wa eneo hilo huku wengine wakiwaita mizimu
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Habari Leo
jana, wakazi hao walisema ni wadudu wanaoibuka
kutoka ardhini ambao wameanza kuonekana kwa
takribani miezi mitatu sasa na wanakula vitu
mbalimbali ikiwamo makokoro yanayotumiwa katika uvuvi, samaki na hata vyakula vinavyoliwa na binadamu.


Post a Comment

0 Comments