Shirikisho la soka Nchini England (FA) limesema litavipa adhabu Vilabu vyote sita vilivyokuwa vimejiunga na Mashindano mapya ya European Super League.
Adhabu ambayo inafikiliwa kutolewa ni kukatwa kwa pointi kwa Vilabu hivyo katika pointi zilizopata lwenye michezo ya ligi kuu Nchini England.
Vilabu hiyo ambavyo vitapata adhabu hiyo ya kukatwa pointi ni Arsenal, Tottenham, Chelsea, Liverpool, Man Utd na Man City.
0 Comments