Advertisement

Responsive Advertisement

MECHI ZA MWISHO KWA LEO, KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA RAUNDI YA TANO HATUA YA MAKUNDI

✋ Mechi za Mwisho kwa leo, Kombe la Shirikisho Afrika Raundi ya Tano Hatua ya Makundi:

FT: NAPSA Stars 🇿🇲 1-0 🇲🇦 RS Berkane 

🙄 Kibonde wa Kundi anamtupa Nje ya Mashindano Bingwa mtetezi na Kutoka Kundi B Rasmi ni JS Kabylie na Coton Sport wanafuzu robo Fainali - NAPSA (4pts) na Mabingwa Watetezi, Berkane (5pts) safari imeisha kwakuwa hawatoweza kufikisha Alama Tisa walizonazo hao wawili ikisalia Mechi Moja Moja tu
FT: Salitas FC 🇧🇫 0-2 🇹🇳 CS Sfaxien 
FT: ASC Jaraaf 🇸🇳 1-0 🇹🇳 Etoile Sahel

👉 Kwa Matokeo haya ya Kundi C Ni kwamba ASC Jaraaf (10pts) na CS Sfaxien (9pts) wanafuzu Hatua inayofuata ya Mashindano -  Etoile Sahel (5pts) Miaka ya hivi karibuni hawatishi wanaaga Mashindano Hatua ya Makundi sasa kabisa na Salitas ya Burkina Faso
🙌 Hadi Sasa Timu zilizofuzu Robo Fainali:

Raja Club Athletic 🇲🇦
ASC Jaraaf 🇸🇳
CS Sfaxien 🇹🇳
JS Kabylie 🇩🇿
Cotonsport 🇨🇲
Pyramids FC 🇪🇬

👉 Kundi B, C na D ndio tayari yamekamilika - Sare kati ya Ahly Benghazi (4pts) na Enyimba FC (6pts) kesho itawafanya Orlando Pirates (9pts) kufuzu katika Kundi A... Ushindi wa Enyimba Basi watafuzu wao na Pirates huku game ya Mwisho ni wao kwa wao#TotalCAFCC #CAFConfederationCup #RSBerkane #CSSfaxien

Post a Comment

0 Comments