Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS SAMIA: NAKWENDA KUFANYA MABADILIKO MAKUBWA YA MAINJINIA WA MAJI HUKO MIKOANI

Nakwenda kufanya mabadiliko makubwa ya Mainjinia wa Maji huko Mikoani, pesa nyingi zinatoka Wizarani kwenda Mikoani lakini Mikoani kunasuasusa maji hayapatikani, wanaoshindwa kutupa maji wapishe tuingize damu mpya.
Waziri wa Maji (Juma Aweso) ile kauli yako unayowaambia wenzio ambayo nami niliikopa kwako ya ‘ukinizingua tutazinguana’ inarudi kwako, tunakwenda kuboresha upelekaji wa maji kwa Wananchi kwa haraka na tukishindwa Waziri wa Maji kabla ya kusema Mimi itabidi uondoke” Rais SSH

Post a Comment

0 Comments