"Mimi sikuwa natafuta Watalaam, nilikuwa nafatufa Viongozi, kwa maana hiyo unapompa Kamanda kazi sina shaka atafanya kazi yake kwa weledi. Ninachokiangalia ni uongozi na sio fani zao. Natumai kwa mijadala iliyokuwepo mitandaoni itakuwa imepata majibu". Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwiny,i uapisho wa Makamanda wa vikosi vya Idara Maalum za SMZ - Ikulu Jijini Zanzibar.
0 Comments