Wewe Mungu uliyewaokoa kwa wokovu mkuu
Wewe Bwana wa Majeshi uliyewafia
Wewe Mfalme uliyewanunua kwa Damu ya thamani ya msalaba
Usiwaache wakaaibika
Usinyamaze adui zao wakasema yu wapi Mungu waliyemtegemea
Tendea watoto wako
Mwaka huu uwe mwaka wao wa kutendewa wema na wewe
Kila aliyejiweka chini ya neema hii ee Bwana mimina wema wako kwenye maisha yake kwa jina la Yesu
0 Comments