NI MEDY KAGERE AU PRINCE DUBE KATIKA UFUNGAJI BORA?

Vita ya ufungaji bora imezidi kupamba moto kwenye Ligi Kuu Bara. Mafahari wawili, Prince Dube na Meddie Kagere wanakabana koo ile mbayaDube ndiye kinara akiwa ameweka kambani mabao 12, huku mwenye tuzo yake Kagere akiwa ameweka kambani mabao 11 Simba bado ina michezo 10, huku Azam wao wakiwa na michezo 6
Wajumbe kura yako kwa mfungaji bora msimu huu ni kwa Dube au Kagere?"

No comments