Wanasema ndoa ni raha hasa pale inapojegwa na kuwa imara ikitawaliwa na upendo wa hali ya juu basi baraka za Mwenyezi Mungu lazima zitawale.
Muigizaji maarufu wa Bongo movie Salim Ahmed a.k.a Gabo Zigamba amempatia mkewe Queen Latiffah zawadi ya gari ikiwa ni siku chache baada ya mke wake huyo kujifungua mtoto.
Aidha siku ya jana ilikua ni 40 ya mtoto huyo ambapo mastaa mbalimbali walihudhuria wakiwemo Alikiba, Idriss Sultan, Yusuph Mlela, Hemedy na wengine wengi.
Ni zawadi gani unaweza mpatia mkeo kwa zawadi ya kukuzalia mtoto?
0 Comments