Advertisement

Responsive Advertisement

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AMEWAONYA WATU WANAOJIHUSISHA NA WIZI WA VIFAA VYA MAGARI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Aboubakar Kunenge, ameonya watu wanajihusisha
na wizi wa magari, vifaa vya magari na pikipiki
kuacha kwani na operesheni ya kuwasaka
inaendelea na zaidi ya watu 49 wanashikiliwa kwa
wizi na ununuzi wa vifaa vya wizi.

Post a Comment

0 Comments