Advertisement

Responsive Advertisement

MANARA: ZIMBWE ASIONDOKE MSIMBAZI

"Wewe ndio nahodha wetu unapendwa na kila mmoja ndani ya Simba, hii ni timu ya maisha yako na hapa ndio umekulia na kupata jina lako" "Wanasimba wamenituma nikwambie hadharani umalizane haraka na uongozi wa klabu kuhusu usajili wako na hawatakubali kukupoteza kwa namna yoyote ile, sana sana watakuruhusu uende nje ya nchi na sio vitimu vya ajabu ajabu visivyojua kesho yao" "Babra bosi wangu, nchi haitotuelewa Zimbwe akiondoka kwenda timu za hovyo hovyo, huyu ni mtoto wa Simba limalize hili tuendelee kuonyesha nini Simba inadhamiria katika muendelezo wa ukubwa wake." >>>Haji Manara -Afisa habari wa Klabu ya Simba
 
TETESI ZINASEMA
☑Zimbwe nataka mil 70 za usajili na mshahara wa mil 10 kwa mwezi
☑Simba wanataka kumpa mil 68 za usajili na mshahara wa mil 10 kwa mwezi
☑Yanga wanataka kumpa mil 100 za usajili na mshahara wa mil 10 kwa mwezi

Post a Comment

0 Comments