Advertisement

Responsive Advertisement

LIONEL MESSI KATIKA LALIGA 2020/21

▶️ Kinara wa mabao (25)
▶️ Kinara wa mabao ya nje ya box (7)
▶️ Kinara wa mabao + Assists (34)
▶️ Kinara wa kutengeneza nafasi nyingi (66)
▶️ Kinara wa kutengeneza nafasi za hatari (18)
▶️ Kinara wa kukokota mipira (124)
▶️ Kinara wa pasi zilizokamilika katika eneo hatari la timu pinzani (876)
▶️ Kinara wa mashuti yaliyolenga goli (80)

Ukizeeka usisite kuwaambia wajukuuu zako kuwa na mpambanaji aliitwa Lionel Messi 🙌

Post a Comment

0 Comments