🔴⚽️ 1' El Shahat
🔴⚽️ 3' Sherif
🔴⚽ 43' El Soulia
⚫⚽ 55' Sabri (p)
Al Ahly Sc wamefikisha alama 33 wakishika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu nchini Egypt 🇪🇬 katika michezo yao 14 nyuma ya Zamalek Sc wenye alama 36 katika michezo 16
0 Comments