Kikosi Cha Klabu ya Simba kimefika salama asubuhi hii Jijini Dar kikitokea Jijini mwanza kwa ndege, na sasa kinaingia kambini kujiandaa na michezo mitatu inayofuata
-michezo hiyo ni dhidi ya Dodoma Jiji April 27 kwenye VPL, dhidi ya Kagera Sugar May 01 katika michuano ya Azam Spots Federation Cup (ASFC) na dhidi ya Yanga SC May 08 katika VPL, michezo hiyo yote itapigiwa Kwa Mkapa, Dar
-Baada ya michezo hiyo mitatu Klabu ya Simba itajiandaa na mchezo wa Robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika itakayopigwa kuanzia May 14, dhidi ya Klabu ambayo itapangiwa nayo kwenye droo itakayofanyika April 30
0 Comments