Advertisement

Responsive Advertisement

JE DIAMOND PLATNUMZ AMENUNUA NDEGE?

Huenda Star wa muziki barani Afrika diamondplatnumz akawa amenunua ndege yake binafsi (Private Jet) siku ya leo na kuthibitisha kupitia vidokezo vya yale anayoyaandika katika mitandao ya kijamii na baadhi ya picha pamoja na videos ambazo ame-share manager wake kwenye page yake ya Instagram

Kupitia insta-Story ya manager wake sallam_sk ameweka baadhi ya kipande cha video kinachomuonesha kuwa ameingia katika Yard ya ndege ndogo na katika ukurasa rasmi wa diamondplatnumz ameweka neno la kumshukuru Mwenyezi Mungu akiandika "Alhamdulillah" ikiwa ni inaashiria  tayari star huyu amefanikiwa kununua ndege hiyo
TAZAMA FULL VIDEO HAPA KWENYE LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?igshid=52utket5uy8y

Post a Comment

0 Comments