Akiwa na umri wa miaka 42 tu, Janira Hopffer Almada anatarajia kuweka historia kama waziri mkuu wa kwanza wa kike wa Cape Verde wakati taifa la kisiwa hicho likipiga kura kwenye uchaguzi wa wabunge siku ya Jumapili.
Wapiga kura wanazingatia athari za janga la coronavirus, ambalo limeathiri uchumi na tasnia ya watalii.
0 Comments