Advertisement

Responsive Advertisement

HEUNG-MIN SON AMWAGA MACHOZI

Kiungo mshambuliaji wa Tottenham Hotspurs Son Heung-Min hakuweza kabisa kuvumilia maumivu ya kupoteza kombe la EFL hii leo dhidi ya Man City.

Son aliishia kumwaga machozi na huku akiwa na huzuni kubwa usoni, hali hiyo ilimfanya mchezaji wa Man City Walker alipoamua kumtoa Uwanjani huku akimfariji.

Man City wameibuka na ushindi wa goli 1- 0.

Post a Comment

0 Comments