Afisa habari wa Simba Haji Manara amewataka Mashabiki wa timu hiyo kutengeneza hashtag ya ushawishi ya kuweza kumfanya beki wao Muhammed Hussein Tshabalala kuongeza Mkataba.
Kwenye Post yake Haji Manara anasema kuwa “kweli msuli huu uende utopolo?
Kweli guu hili la dhahabu liende kwenye timu isiyo shinda mataji?”
Akaendelea kusifia umahiri wa Zimbwe Jr na kuwataka Wana Simba wamshawishi aongeze Mkataba aendelee kusalia kunako na Klabu hiyo.
0 Comments