Advertisement

Responsive Advertisement

ALEKSANDER CEFERIN: VILABU VILIVYOJIUNGA EUROPEAN SUPER CUP LAZIMA VIADHIBIWE

"Vilabu ambayo vilikuwa vimejiunga na michuano ya European Super League lazima viazibiwe, pia tunaweza kuvifungia kushiriki michuano ya UEFA kwa msimu ujao. Vilabu vya ligi kuu England adhabu yake haitakuwa kubwa Kama Vilabu vya ligi zingine, kwa sababu ndio vilikuwa vya Kwanza kujiondoka katika michuano hiyo mipya," - Aleksander Ceferin Raisi wa Michuao ya UEFA Champions League

Post a Comment

0 Comments