Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Yesu alisema.Kijana huyu aliwekewa mshumaa huu na nabii ili unavyowaka na na kuisha,ndivyo matatizo yake yawe yanaisha,je ni sawa kwa mawazo yako??👇Soma Biblia kila siku,upate maarifa.🙏
Post a Comment